Thursday, April 29, 2010

Mzigo mpya umewasili Kiki's Fashion,Mikocheni na hizi ni picha za vitu baadhi vilivyopo dukani nitaendelea kutuma picha za vitu vipya nikipata muda!Asanteni na karibuni sana.